Knygos.lt klubas Knygos.lt nariams
20,01 €
-30%
Įprastai
28,59 €
Karamu Mbinguni
Karamu Mbinguni
Knygos.lt klubas Knygos.lt nariams
20,01 €
-30%
Įprastai
28,59 €
  • Išsiųsime per 12–18 d.d.
Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu, ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi, wengine kama Bundi wanaongozwa na nia mbaya. Mzee Kobe naye anadanganya kuwa ukoo wake ulitokana na ndege. Kwa wale wenye nia safi, karamu ya mbinguni inaishia kuwa furaha isiyo kimo. Wenye nia mbaya nao wanaupata mshahara wa vitendo vyao. Chongameno ni kijana mchungaji aliyejaaliwa haiba ya mwili na roho. Alice ni msich…

Karamu Mbinguni (el. knyga) (skaityta knyga) | Njiru Kimunyi | knygos.lt

Atsiliepimai

Aprašymas

Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu, ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi, wengine kama Bundi wanaongozwa na nia mbaya. Mzee Kobe naye anadanganya kuwa ukoo wake ulitokana na ndege. Kwa wale wenye nia safi, karamu ya mbinguni inaishia kuwa furaha isiyo kimo. Wenye nia mbaya nao wanaupata mshahara wa vitendo vyao. Chongameno ni kijana mchungaji aliyejaaliwa haiba ya mwili na roho. Alice ni msichana aliyezaliwa katika mali na anasa. Lakini pendo halitambui tabaka, na Alice anampenda Chongameno. Juhudi za kulitoroka pendo hili zinaishia katika balaa kwa wote wawili. Hii ni hadithi iliyofumwa kitaalamu na mmoja wa waandishi walioheshimika sana katika Afrika ya Mashariki.

Knygos.lt klubas
Knygos.lt nariams
20,01 €
-30%
Įprastai
28,59 €
Kaina registruotiems pirkėjams
Prisijunkite ir už šią prekę
gausite 0,29 Knygų Eurų!?
Išsiųsime per 12–18 d.d.
Įsigykite dovanų kuponą
Daugiau

Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu, ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi, wengine kama Bundi wanaongozwa na nia mbaya. Mzee Kobe naye anadanganya kuwa ukoo wake ulitokana na ndege. Kwa wale wenye nia safi, karamu ya mbinguni inaishia kuwa furaha isiyo kimo. Wenye nia mbaya nao wanaupata mshahara wa vitendo vyao. Chongameno ni kijana mchungaji aliyejaaliwa haiba ya mwili na roho. Alice ni msichana aliyezaliwa katika mali na anasa. Lakini pendo halitambui tabaka, na Alice anampenda Chongameno. Juhudi za kulitoroka pendo hili zinaishia katika balaa kwa wote wawili. Hii ni hadithi iliyofumwa kitaalamu na mmoja wa waandishi walioheshimika sana katika Afrika ya Mashariki.

Atsiliepimai

  • Atsiliepimų nėra
0 pirkėjai įvertino šią prekę.
5
0%
4
0%
3
0%
2
0%
1
0%
(rodomas nebus)