107,89 €
The History of Kiziba and Its Kings
The History of Kiziba and Its Kings
107,89 €
  • Išsiųsime per 14–18 d.d.
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wasimulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira.Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo…
107.89
SKAITYTAKNYGA
  • Leidėjas:
  • Metai: 20200603
  • Puslapiai: 452
  • ISBN-10: 9987083684
  • ISBN-13: 9789987083688
  • Formatas: 15.2 x 22.9 x 2.4 cm, minkšti viršeliai
  • Kalba: Anglų

The History of Kiziba and Its Kings + nemokamas atvežimas! | knygos.lt

Atsiliepimai

(5.00 Goodreads įvertinimas)

Formatai:

107,89 € Nauja knyga
minkšti viršeliai

Aprašymas

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wasimulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira.

Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambacho kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie kwa mara ya kwanza wasomi wengi.
107,89 €
Prisijunkite ir už šią prekę
gausite 1,08 Knygų Eurų!?

  • Atsiliepimų nėra
0 pirkėjai įvertino šią prekę.
5
0%
4
0%
3
0%
2
0%
1
0%